Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndo maana nakupendaWeeeeee naweza jinyonga na big G
Ndo maana nakupendaWeeeeee naweza jinyonga na big G
hamna mekuja shangaa tu, me kwetu Uswahilini vigodoro vilipoanzia!.🙂
Ulivyotaja mishkaki binamu mate yamenitoka
Nimeyasikia mloniambia na kuyaweka kichwani asantee...usipougua kipepsi basi nyusi zitapata mvi mwaka huu. Usijesema hukuambiwa
😱 njoo Temeke bebe!.. Huku si mchezo!Babe kumbe wote tunaishi uswahilini mwenyewe naishi tandale kwa tumbo
Poa shwari shemeji!??..Mambo shemeji
Ndo unijib kwani ww si mtuDuhh haya buana
Tandale hawavaagii Brazilian hairBabe kumbe wote tunaishi uswahilini mwenyewe naishi tandale kwa tumbo
Duuuuuh hii dunia ina mamboWapo mpaka whatsapp
Mambo ya kumkojozaa gest za elfu sita dada kwetu hatutakiii ...Poa shwari shemeji!??..
Stereo pana ugali na nyama hatariiii😀😀 hata unajua huku kuna ulabu sana, ngekupa story ya sehemu panaitwa 'stereo' iringa twn.




Weeeeee naweza jinyonga na big G
...acha njaa, mishkaki ya mia5 hii, njoo na hela kabisa huyu muuzaji huwa hataki mtu amnunulie mtu
Jinyonge umuache aendelee kula mautamu hasara kwa naniii ukijinyonga eti

Cosota eenh babe😱 njoo Temeke bebe!.. Huku si mchezo!
Mpwaaaaa, upo wewe.Binamu mishkaki ya vumbi naipenda mm nafataga manzese kwa babu wa kisambaa anauza mshakaki mmoja 200





Kwanini wasivae Brazilian ebu tuwaache
Tandale hawavaagii Brazilian hair