Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
PoyeeKuna baridi sana njombe!..
Na huko kuna baridi
PoyeeKuna baridi sana njombe!..
hebu nambie nani kakufundisha mawazo maovu, nikadeal naye!.. haiwezekani me kusema maembe mabichi uniite mhuni.. kuna sababu!..
Akili yako naijua vizuri sana yaani hapo umemwazia kabinti kadogoYaani unapenda kunipa habari za kunikera

Si huku tu, kwani tukiwa kule hua nakukera!?..mmhh!!...Ila sio kwa tafsiri hiyo usinidanganye mpaka najua
Siku nimjue huyo mama!..Kuna rafiki yangu nasoma nampigia kumuuliza


Namtania tu huyo Mhehe!.. Hilo jina limekaa kiiringa iringa hivi, najaribu kama nae akikasirika atajitundika!.🙂😉Lakini babe wote si ndio mpo kwenye usukuma
Umeshasema me mhuni acha nisikupe story tamu!..Poyee
Na huko kuna baridi
Unipe tu babe story za kukulana uko iringa na njombe ndio kunaongoza kwa ukimwi 3bomba na vile hauzipend ujitahidi utumieUmeshasema me mhuni acha nisikupe story tamu!..
Si huku tu, kwani tukiwa kule hua nakukera!?..
mmhh!!...
🙂 sio hivo banaa!!Akili yako naijua vizuri sana yaani hapo umemwazia kabinti kadogo
😀😀 hata unajua huku kuna ulabu sana, ngekupa story ya sehemu panaitwa 'stereo' iringa twn.Unipe tu babe story za kukulana uko iringa na njombe ndio kunaongoza kwa ukimwi 3bomba na vile hauzipend ujitahidi utumie
Huyu binti wa shinyanga
Aiseehh!!.. Inabid nijifunze kisambaa sasaNdiwooo hapo si mmesalimiana tu ww ananiambia vya uongo