Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mpaka akaroge kwanza ndo aje kufungukaEhee binamuu kitu gani hicho sasa ambacho ukikipata utahamisha kanisa na msikitifunguka bina...

Mpaka akaroge kwanza ndo aje kufungukaEhee binamuu kitu gani hicho sasa ambacho ukikipata utahamisha kanisa na msikitifunguka bina...

Shemela!!Shikamoo mkushi
Shikamoo binamu....na macho yasivyo na adabu sasa, hata ukivaa yanakuvua nguo na kupiga picha.
Hebu nitumie kasnap uone
Nipo njema mkuuKwema vipi hali nyangema!?
Najaribu kufungua uzi unagoma, tupe mwongozo kidogo mkuu.
Namba unataka kumpa mahela binamu...asante kwa kuuliza jambo jema, naziona dalili zote za mimi kuwa na siku njema.
Yaani nikipata namba yako tu basi nilichoahidi nitafanya , ukisema unipe na email basi jihesabu umefika Zanzibar!? Au hependi kusafiri
Tunasubiri mrejesho wa kukojoa bustani ya ikulu....simu yangu sijui kwanini haioneshi hizi picha? Au mnatumia simu za promosheni
.....maandishi yako hayaonekani kwenye simu yangu ya milioni 2, itabidi nikupatie hii simu , weka SLP fasta kabla sijamaliza hii supu na chapati 2

Cha ugimbi shikamooHamjambo humu,
Hivi hakuna kapuku yuko songea ,mwisho wa mwezi huu nitakua huko ,awe mwenyeji wangu
Na ww pia binamu uwe na mchana mwemaNikutakie asubuhi na siku njema mdau mzuri wa Makapuku forum.
Shunie ukiweka Je Wajua nistue, anko Lyon Lee magazeti nitakuwepo. Mkushi wa kusi , Tumosa , mtu chake , makaveli10 , The Book , miss IQ , na wewe unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo nakutakia siku njema. Love
...basi umenipata, tutaenda ubungo kuangalia mabasi yanayosafi, tunatoka hapo tunaenda eapoti kuangalia ndege zikisafirisha abiria na kisha tutasafiri hadi bandari kuangalia boti za Azam zikienda Znz. Nadhani umefurahia sana hizi safari tumeona mabasi, ndege na boti. Kitu gani hatujaona!? Oh, tutapita buguruni kuangalia wasafiri wa miguu

Pole yakeKwema wadau ?
Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu - JamiiForums
Huyu dada ni miongoni mwa wadau wa huu uzi wa mwanzo mwabzo
Kwa bahati mbaya kapatwa na masahibu ya kiafya kiasi cha kuanzisha uzi kuomba msaada....inasikitisha
Wakuu km kuna mtu anaweza kumsaisia amsaidie jamani matatizo hayana mwenyewe maishani huwa yanahamahama tu
Natanguliza shukrani
Shikamoo shemelaKumbe mzee mwenzangu hajalegea.
Poa poa.Nipo njema mkuu
Mwongozo kuhusu nini ?
Nenda jukwaa la habari na hoja mchanganyiko utauona
Naendelea izuri ndugu yanguPole yake
Uko mzima kaka bitoz
Marhaba shemela, uhali gani!?Shikamoo shemela
AbeeeeShemela!!
Mzima wewe!?Abeeee
Karibu sanaNaendelea izuri ndugu yangu
Next month nitakuwepo "huko kwenu"
Nko vizuri namshukuru alie juuMarhaba shemela, uhali gani!?