ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Aah!! ABJ undumilakuwili huu bibie 😀 😀 😀ohooo nshaanza kuziona dalili za mtu kuzidiwa kete hapa anko nnavopenda kusafiri wee acha hapo utakuwa umefaulu kabisa
Zamadamu.Zama za kale paka na panya walikuwa ni zaidi ya ndugu zaidi ya marafiki wa kufa na kushibana walishirikiana kwa kila jambo ...siku moja kwa kuwa walikuwa wamezoeana sana cha paka cha panya na cha panya ni cha paka basii bwana panya akaenda nyumbani kwa paka ...hodiiii akafunguliwa mlango na mke wa paka kumuulizia rafiki yake akaambiwa hayupo na panya akaona huyu ni kama mm bhasi akawekewa maji akaogaaa na kipindi anaoga akaomba mke wa paka aje kumsugua mgongoni ....bhasi kwa kuwa mke naye walizoeana akaendaaa kufanyaa hivo alimsuguaa mpaka panya akakirii mkewe hajawahii kumfanyia hivo
Kama unataka part 2 nambie
Niache na lyon lee wanguAah!! ABJ undumilakuwili huu bibie 😀 😀 😀
Nawe pia mzee mzee mwenzangu.Nikutakie asubuhi na siku njema mdau mzuri wa Makapuku forum.
Shunie ukiweka Je Wajua nistue, anko Lyon Lee magazeti nitakuwepo. Mkushi wa kusi , Tumosa , mtu chake , makaveli10 , The Book , miss IQ , na wewe unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo nakutakia siku njema. Love
Ila, ila, ila nini!!?Hatujambo shkamoo
Mhhhh me nipo songea ila........
Bado wale wa usiku, usafiri wao vipeteo vya mchele....basi umenipata, tutaenda ubungo kuangalia mabasi yanayosafi, tunatoka hapo tunaenda eapoti kuangalia ndege zikisafirisha abiria na kisha tutasafiri hadi bandari kuangalia boti za Azam zikienda Znz. Nadhani umefurahia sana hizi safari tumeona mabasi, ndege na boti. Kitu gani hatujaona!? Oh, tutapita buguruni kuangalia wasafiri wa miguu
Katika zako 2, moja ndio atakushikia mwenzio. 😀 😀 😀Nani anishikie bastola? Mie ninazo mbili
Kwema vipi hali nyangema!?Kwema wadau ?
Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu - JamiiForums
Huyu dada ni miongoni mwa wadau wa huu uzi wa mwanzo mwabzo
Kwa bahati mbaya kapatwa na masahibu ya kiafya kiasi cha kuanzisha uzi kuomba msaada....inasikitisha
Wakuu km kuna mtu anaweza kumsaisia amsaidie jamani matatizo hayana mwenyewe maishani huwa yanahamahama tu
Natanguliza shukrani
HahahahaKatika zako 2, moja ndio atakushikia mwenzio. 😀 😀 😀
Nikuache ndoa tulifungia wapi!!?Niache na lyon lee wangu
Huku upo huku upo!! Huku unang'ata, huku unapuliza.. Vibaya hivyo binti, utawafanya ndugu zangu washikane korodani buree
Hahahahaha nipo na lyon lee my sweetieIla, ila, ila nini!!?
Ilala, magomeni!!?? 😛 😛 😛
Kanikosea adabu!!
Shikamoo mkushiSalamu Makapuku wenzangu