ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
....simu yangu sijui kwanini haioneshi hizi picha? Au mnatumia simu za promosheni





mfyuuuu....simu yangu sijui kwanini haioneshi hizi picha? Au mnatumia simu za promosheni





mfyuuuuWee si unaelewa utashikiwa bastola sasa hiviila nn
ohooo nshaanza kuziona dalili za mtu kuzidiwa kete hapa anko nnavopenda kusafiri wee acha hapo utakuwa umefaulu kabisa
Aiiiseeeehohooo nshaanza kuziona dalili za mtu kuzidiwa kete hapa anko nnavopenda kusafiri wee acha hapo utakuwa umefaulu kabisa
Ukitakaa iwe hivo sawaaatakuzidi kete soon
...basi umenipata, tutaenda ubungo kuangalia mabasi yanayosafi, tunatoka hapo tunaenda eapoti kuangalia ndege zikisafirisha abiria na kisha tutasafiri hadi bandari kuangalia boti za Azam zikienda Znz. Nadhani umefurahia sana hizi safari tumeona mabasi, ndege na boti. Kitu gani hatujaona!? Oh, tutapita buguruni kuangalia wasafiri wa miguu













Aiiiseeeeh
Ahhh wapi hamna kitu kama hicho sweetieUkitakaa iwe hivo sawaa




Nani anishikie bastola? Mie ninazo mbiliWee si unaelewa utashikiwa bastola sasa hivi
Mimi?Huyu jamaa no Jf member
Alfa Mwijumbe
Kumbe mzee mwenzangu hajalegea.Ile ya kojoooooooo
Nitake radhi mzee mwenzangu....nimemwambia awe anachungulia tu mpaka mkimaliza kutongozana wote ndo aje ajitulize atoe somo tu la kuwaambia mabazazi kwa nini mimi na yeye tumedumu
SalamuSalamu Makapuku wenzangu
Shukran ObeNikutakie asubuhi na siku njema mdau mzuri wa Makapuku forum.
Shunie ukiweka Je Wajua nistue, anko Lyon Lee magazeti nitakuwepo. Mkushi wa kusi , Tumosa , mtu chake , makaveli10 , The Book , miss IQ , na wewe unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo nakutakia siku njema. Love
Ikulu ipi unaizunguzia mzee mwenzangu!?....ukipewa naenda kukojoa kwenye bustani ya ikulu
Mzee mwenzangu mbona una mikwara kama andunje!!?.....maandishi yako hayaonekani kwenye simu yangu ya milioni 2, itabidi nikupatie hii simu , weka SLP fasta kabla sijamaliza hii supu na chapati 2