ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
masikini basi atakula tu kwa macho
Nishakwambiaa mganga wako hana jipyaaa huoni mambo yanavojisetiiii....ukipewa naenda kukojoa kwenye bustani ya ikulu
Nashukuru umejioneaa mbaya wetu
Ehee binamuu kitu gani hicho sasa ambacho ukikipata utahamisha kanisa na msikitifunguka bina...
ole wako asije sasa
Nimempa ankoo kakojoe sasa
...asante kwa kuuliza jambo jema, naziona dalili zote za mimi kuwa na siku njema.
Yaani nikipata namba yako tu basi nilichoahidi nitafanya , ukisema unipe na email basi jihesabu umefika Zanzibar!? Au hependi kusafiri



ohooo nshaanza kuziona dalili za mtu kuzidiwa kete hapa anko nnavopenda kusafiri wee acha hapo utakuwa umefaulu kabisa....na macho yasivyo na adabu sasa, hata ukivaa yanakuvua nguo na kupiga picha.
Hebu nitumie kasnap uone




Zama za kale paka na panya walikuwa ni zaidi ya ndugu zaidi ya marafiki wa kufa na kushibana walishirikiana kwa kila jambo ...siku moja kwa kuwa walikuwa wamezoeana sana cha paka cha panya na cha panya ni cha paka basii bwana panya akaenda nyumbani kwa paka ...hodiiii akafunguliwa mlango na mke wa paka kumuulizia rafiki yake akaambiwa hayupo na panya akaona huyu ni kama mm bhasi akawekewa maji akaogaaa na kipindi anaoga akaomba mke wa paka aje kumsugua mgongoni ....bhasi kwa kuwa mke naye walizoeana akaendaaa kufanyaa hivo alimsuguaa mpaka panya akakirii mkewe hajawahii kumfanyia hivo...asante kwa kuuliza jambo jema, naziona dalili zote za mimi kuwa na siku njema.
Yaani nikipata namba yako tu basi nilichoahidi nitafanya , ukisema unipe na email basi jihesabu umefika Zanzibar!? Au hependi kusafiri
.....maandishi yako hayaonekani kwenye simu yangu ya milioni 2, itabidi nikupatie hii simu , weka SLP fasta kabla sijamaliza hii supu na chapati 2









Zama za kale paka na panya walikuwa ni zaidi ya ndugu zaidi ya marafiki wa kufa na kushibana walishirikiana kwa kila jambo ...siku moja kwa kuwa walikuwa wamezoeana sana cha paka cha panya na cha panya ni cha paka basii bwana panya akaenda nyumbani kwa paka ...hodiiii akafunguliwa mlango na mke wa paka kumuulizia rafiki yake akaambiwa hayupo na panya akaona huyu ni kama mm bhasi akawekewa maji akaogaaa na kipindi anaoga akaomba mke wa paka aje kumsugua mgongoni ....bhasi kwa kuwa mke naye walizoeana akaendaaa kufanyaa hivo alimsuguaa mpaka panya akakirii mkewe hajawahii kumfanyia hivo
Kama unataka part 2 nambie








uwiiihHatujambo mkushi wa kusiSalamu Makapuku wenzangu
Hatujambo shkamooHamjambo humu,
Hivi hakuna kapuku yuko songea ,mwisho wa mwezi huu nitakua huko ,awe mwenyeji wangu
AsanteeeNikutakie asubuhi na siku njema mdau mzuri wa Makapuku forum.
Shunie ukiweka Je Wajua nistue, anko Lyon Lee magazeti nitakuwepo. Mkushi wa kusi , Tumosa , mtu chake , makaveli10 , The Book , miss IQ , na wewe unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo nakutakia siku njema. Love