Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Mfyuuuuuuuu wenzako wanascreenshot wanaenda kupost uko
nipo my chocolate" nilikuwa naogopa kuja huku " maana nasikia toka kwa watu " unatangaza kuwa umeniacha ... mbaya zaidi unasema kuwa sina hela
Nimescroll swaaaah!... Hata sijaelewa unasemaje!.






Umeona mm ndo wakupewa kitecno
Acha ubahili uza mang'ombe tununulie simu zinazoeleweka
Hahahaha![]()
![]()
kwahiyo badala ya kuwaspy wao, wao ndo walimspy yeye
Ndani ni nnNje Tecno ndani tamuuu!..
hahaa yule ni TAMISEMIEiiiish ww si una mbabe mwingine yule
Nawasalimu wana familia
Habari ya jumapili
NdiwooooooHuko si ndio kwetu
Umwambie aache ubahili huto mbebez wakoTumosa ndio wa tecno eenh
Njema kabisa za wwNawasalimu wana familia
Habari ya jumapili
Namshukuru alienipa pumzi niko poaSalama Eden za ww
Niko poaNjema kabisa za ww