Sawa mkuu, kesho nitaenda na rula ili niwapime kabisa isije kuwa tabu, maana msukuma mwenzetu amechachamaaJamani bunyebunye asante sana kwa kunikumbuka nafurahi sana usisahau kunitumia samaki jamani
Ndiyo tabia yetu tulio wengi, hata kama madada ana chura kubwa kiasi gani bila kuwa mweupe ni kazi bureeeeHalafu nasikia mnapenda wanawake weupe eenh

Sawa mkuu, kesho nitaenda na rula ili niwapime kabisa isije kuwa tabu, maana msukuma mwenzetu amechachamaa











Bila kusahau JD
Ndiyo tabia yetu tulio wengi, hata kama madada ana chura kubwa kiasi gani bila kuwa mweupe ni kazi bureeee![]()
![]()
![]()









unataka kuninyima nini kwanza!?... 🙂Shikamoo shemela
Unamjua binamu ake mwingine, nikamuonyeshe kama nyama ya hamu tamu!?..Babe anasema eti binamu nyama ya hamu
Ewaa au sminorff gin bariiidi!..Bila kusahau JD
Mm babe sitaki hizo habari zake za nyama ya hamuUnamjua binamu ake mwingine, nikamuonyeshe kama nyama ya hamu tamu!?..
Ndio vinywaji vyake hivyoEwaa au sminorff gin bariiidi!..
Heshima tuu hyo wala sikunyimi kituunataka kuninyima nini kwanza!?... 🙂
Yeah kunatopic nilitaka kuidiscuss nae 🙁.Mrs Van tena jamani
Hizi je wajua, zinapoelekea ni je wajua wick ni .....😉Nimekuogopesha na nn babe tena