Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Afadhari shemelaUnawasingizia tuu.. Kama shemela wangu tumosa ndio kabisa.
Afadhari shemelaUnawasingizia tuu.. Kama shemela wangu tumosa ndio kabisa.
OK OK OK, ndio nimejua sasa kumbe mnajuana hata nje ya hapa , basi sasa najua vzr
Nasemajeeeeeeeeeeeee hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiWouzeeeeeeerrrrr![]()
Taratibuuuuu binamuuuu........taratibu anko, hapa kibonge kila niandika nampa aone naandika nini. Alikusikia siku ile unamsimulia kuwa ulikamatwa ukichati na teller
![]()
Nimejua!, hapa inaonekana mm ndio kinega tu ,karibu wote mnajuana ,sawa sawaYes tunajuana vizuri tu na hawezi kunikula mm
Hapana wengine wanakulanaga na shemeji zao ila kwangu hapana hata nizidiwe vipi bora ninawe na maji ya moto kuliko kukulwa na shemeji yangu yoyote
Hivi nan kasema nawezaa kukulaa weweYes tunajuana vizuri tu na hawezi kunikula mm

moto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 

makapuku haizimiiiiiiiiiiiiiiiii 

Nasemajeeeeeeeeeeeee hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Haha cha zamani ndo kipi hicho ankooMuziki: Furahiday, Come Over
Unaenda kwa kwa aunt yangu Shunie ambaye amekuwa na wakati mzuri mchana wa leo na nimefurahia post alizoweka za Je Wajua. Ila sasa mida ya jioni anko wangu Lyon Lee akiwa keshapiga tatu nne gia ya kupasua milima anataka kumkasirisha kwa story za kukojoleana.
Asante ABJ chombo kipya cha anko wangu, Tumosa nimekukumbuka binamu endelea kukazana sana wikend hii, mtu chake kula monde mzee mzima. makaveli10 soka la ufukweni kesho nitapita mitaa yenu na chama langu la jogging vijana wa uwanja wa Shababi.
Come over wadau wote wa ukweli wa jukwaa hili, Transcend , Da'Vinci na wewe unayenisoma sasa
Nimejua!, hapa inaonekana mm ndio kinega tu ,karibu wote mnajuana ,sawa sawa
Asante sana Binamu yanguMuziki: Furahiday, Come Over

nakupenda tu mmNdo unafukua makaburiiii
ShikamooNilianza kuogopa ,mm malumbano nayakwepa sana ,safi sana Rafiki km aman ipo
Nimejua!, hapa inaonekana mm ndio kinega tu ,karibu wote mnajuana ,sawa sawa
Sijui tumefanyaje mimwenyewe nimeuliza
Nilianza kuogopa ,mm malumbano nayakwepa sana ,safi sana Rafiki km aman ipo
Alikuwaaa wakoo jaman ankooo...basi mpika vitumbua mmoja alikuwa anayachukua haya maji unayosema anapikia vitumbua, alimroga mjomba wangu aisee
...basi mpika vitumbua mmoja alikuwa anayachukua haya maji unayosema anapikia vitumbua, alimroga mjomba wangu aisee

arogwe tu hakuna namna