Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Furahiday, Come Over

Unaenda kwa kwa aunt yangu Shunie ambaye amekuwa na wakati mzuri mchana wa leo na nimefurahia post alizoweka za Je Wajua. Ila sasa mida ya jioni anko wangu Lyon Lee akiwa keshapiga tatu nne gia ya kupasua milima anataka kumkasirisha kwa story za kukojoleana.

Asante ABJ chombo kipya cha anko wangu, Tumosa nimekukumbuka binamu endelea kukazana sana wikend hii, mtu chake kula monde mzee mzima. makaveli10 soka la ufukweni kesho nitapita mitaa yenu na chama langu la jogging vijana wa uwanja wa Shababi.

Come over wadau wote wa ukweli wa jukwaa hili, Transcend , Da'Vinci na wewe unayenisoma sasa

Asantee kwa music naipenda sana hii nyimbo ankoo
 
Hi binamuu
Lup u
 
KUTOKA 14

14.BWANA ATAWAPIGANIA NINYI NANYI MTANYAMAZA KIMYA

ASANTE BABA KWA KUTUPIGANIA

USIKU MWEMA WANA FAMILIA..MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO KILA TULIPO DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom