Makapuku Forum

Makapuku Forum

Utafiti mpya unaonesha kwamba wanawake wenye shepu (curvy women) ndiyo wenye uwezo wa kuzaa watoto wenye akili sana.

Profesa Will Lassek kutoka chuo cha Pittsburg nchini Marekani ambaye aliongoza utafiti huo anasema "mafuta yaliyokuwa kwenye maeneo yaliyojaza sana kwenye mwili wa mwanamke kama;- makalio makubwa, mapaja, na kwenye hips yanasaidia sana kuimarisha DHA (Docosahexaenoic Acid) ambayo ni moja kati ya kijenzi muhimu sana kwenye ubongo wa binadamu.

Kiasi kikubwa cha mafuta ambayo yanahitajika katika kuimarisha ubongo wa mtoto yanatoka kwenye hifadhi ya mafuta iliyokuwa kwenye mapaja na makalio, hivyo wanawake wenye maumbile makubwa kwenye sehemu hizo basi na watoto wao watakuwa na akili sana.

Pia utafiti mwingine uliofanywa 2009, kutoka chuo cha St Andrews huko Scotland unaonesha wanaume wengi wanapenda wanawake wenye shepu (curvy women) kwa sababu wanaonekana ndiyo wenye afya zaidi.

Hivyo ukitaka kutengeneza ka Einstein kingine unajua cha kufanya...

Haya sasa kazi ipo tusiokuwa na shape woiiiii View attachment 859205
Mhhhhhhh
 
🤸🤸🤸🤸🤸 samrath aibu yake huku kaachika kwa mkewe huku anafumaniwa na mke wa mtu woiiiii
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom