Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nikilewa beer zangu nitarudia kusoma ili nijue umemaanisha nini
It is not true!

Some of currents research outputs are staged in manner of promoting and implementing interest of few people in a world.

We are now in a economic warfare where individuals, institutions, countries are fighting to survive..

We just need to be care with manipulators..
 
Kwenye baadhi ya maeneo nchini China hali ya hewa ni mbaya sana kiasi cha kwamba watu wananunua chupa ambazo zimewekewa hewa safi kutoka nchi kama Canada na Uingereza.

Vitality ni moja kati ya kampuni ambayo ilianzishwa kama utani kwa lengo la kuuza hewa nchini Canada lakini baadae ilikuja kupata soko kubwa nchini China kutokana na uhitaji mkubwa wa hewa na wachina, chupa moja ya hewa inauzwa dola 20 (zaidi ya tshs 45,000) na sasa tayari wameshauza zaidi ya chupa 1,000 huku mahitaji yakiongezeka siku hadi siku.

Watu wengi wamekuwa mamilionea nchini China kutokana na biashara ya kuuza hewa, hivyo kama na wewe unataka kuwa milionea anza kuvuna hewa safi kwenye machupa kisha nenda China.
Screenshot_20180906-184025.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
It is not true!

Some of currents research outputs are staged in manner of promoting and implementing interest of few people in a world.

We are now in a economic warfare where individuals, institutions, countries are fighting to survive..

We just need to be care with manipulators..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom