Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa jina anaitwa Graham, huyu ndiye binadamu pekee ambaye anaweza kupona kwenye ajari yoyote ile ya gari.

Huyu jamaa ana ubongo kama wako ila yeye fuvu lake ni kubwa sana ambalo ndani yake lina maji pamoja na kano ambazo zitaufanya ubongo wake uwe salama pindi ajari inapotokea, pia hana shingo halafu magoti yake yanaweza kunjika kuelekea upande wowote ule hivyo hata kama akigongwa na gari kwa nyuma bado anaweza tembea kama kawaida.

Graham ametengenezwa na serikali ya Australia ikishilikiana na watafiti wa ajali za barabarani, wataalamu wa upasuaji, pamoja na mchongaji sanamu katika kutaka kufahamu jinsi mwili wa binadamu unavyotakiwa uwe ili kuweza kuhimili ajali yoyote ile ya gari.

Screenshot_20180906-182036.jpeg
 
Utafiti mpya unaonesha kwamba wanawake wenye shepu (curvy women) ndiyo wenye uwezo wa kuzaa watoto wenye akili sana.

Profesa Will Lassek kutoka chuo cha Pittsburg nchini Marekani ambaye aliongoza utafiti huo anasema "mafuta yaliyokuwa kwenye maeneo yaliyojaza sana kwenye mwili wa mwanamke kama;- makalio makubwa, mapaja, na kwenye hips yanasaidia sana kuimarisha DHA (Docosahexaenoic Acid) ambayo ni moja kati ya kijenzi muhimu sana kwenye ubongo wa binadamu.

Kiasi kikubwa cha mafuta ambayo yanahitajika katika kuimarisha ubongo wa mtoto yanatoka kwenye hifadhi ya mafuta iliyokuwa kwenye mapaja na makalio, hivyo wanawake wenye maumbile makubwa kwenye sehemu hizo basi na watoto wao watakuwa na akili sana.

Pia utafiti mwingine uliofanywa 2009, kutoka chuo cha St Andrews huko Scotland unaonesha wanaume wengi wanapenda wanawake wenye shepu (curvy women) kwa sababu wanaonekana ndiyo wenye afya zaidi.

Hivyo ukitaka kutengeneza ka Einstein kingine unajua cha kufanya...

Haya sasa kazi ipo tusiokuwa na shape woiiiii
Screenshot_20180906-182515.jpeg
 
Haya sasa kazi ipo tusiokuwa na shape woiiiii View attachment 859205
Wale wa viuno mbananoo kazi kwenu
 
Hii ndiyo picha ya muonekano wa karibu wa 'The great Red Spot' kimbunga ambacho kimekuwa kikizunguka kwenye sayari ya Sumbula (Jupiter) kwa zaidi ya miaka 400 na ni kikubwa sana kiasi cha kwamba Dunia tatu zinaweza zikatosha kwenye kimbunga hicho.

Screenshot_20180906-182746.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Unajua kwamba mkurugenzi mtendaji wa Apple kwa sasa Tim Cook ambaye anafahamika kama mmoja kati ya watu mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa nchini Marekani, amejitangaza kwamba yeye ni shoga na anafurahi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa ya teknolojia ambayo inaunga mkono mashoga.

Screenshot_20180906-182937.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Shirika la afya Duniani (WHO) kwa sasa limeongeza michezo ya kompyuta (games) kwenye orodha ya magonjwa ya akili Duniani inayofahamika kama ICD 11 kutokana na uraibu wa michezo hiyo inavyowaletea watu.

Kulingana na WHO dalili za ugonjwa wa michezo hiyo ni kushindwa kujizuia unapokuwa unacheza michezo hiyo kwa mfano mtu anakuwa anaendekeza sana michezo hiyo kuliko shughuli na mambo mengine kwenye maisha au dalili nyingine ni kutumia muda mwingi sana kwenye michezo hiyo pasipo kujali madhara yake kama kushindwa kujichanganya na watu wengine kama ndugu, jamaa na marafiki.
Screenshot_20180906-183053.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Unajua kwamba mkurugenzi mtendaji wa Apple kwa sasa Tim Cook ambaye anafahamika kama mmoja kati ya watu mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa nchini Marekani, amejitangaza kwamba yeye ni shoga na anafurahi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa ya teknolojia ambayo inaunga mkono mashoga.

View attachment 859208
Mfano waseme watumiajii wa iphone wanasapotiii hicho kitu
 
Oumuamua' dubwana la kwanza kutoka anga ya ndani zaidi (Interstellar Space) kuingia kwenye mfumo wetu wa Jua na bado mpaka sasa watafiti wanashindwa kupata majibu kama ni nyota-mkia, jiwe kubwa au ni ndege iliyobeba viumbe kutoka sayari nyingine.

Jambo la kushangaza zaidi kuhusu 'Oumuamua' ni jinsi lilivyoingia kwenye mfumo wetu wa Jua kwa spidi ya ajabu kisha likatokomea kusiko julikana, yaani kama limedondoshwa na mtu kisha akaliondoa haraka sana.

Baadhi ya wanajimu walifikiri ni ndege iliyobeba viumbe kutoka sayari nyingine, ambapo satelaiti zilielekezwa eneo dubwana hilo lilipo ili kusikiliza maongezi, ila hakuna chochote walichosikia na kwa sasa wanaamini 'Oumuamua' linaweza likawa ni pande kubwa la jiwe lililotokana na mgongano kati ya sayari mbilikimo (dwarf planet) na sayari kubwa.

Screenshot_20180906-183307.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Utafiti mpya unaonesha kwamba wanawake wenye shepu (curvy women) ndiyo wenye uwezo wa kuzaa watoto wenye akili sana.

Profesa Will Lassek kutoka chuo cha Pittsburg nchini Marekani ambaye aliongoza utafiti huo anasema "mafuta yaliyokuwa kwenye maeneo yaliyojaza sana kwenye mwili wa mwanamke kama;- makalio makubwa, mapaja, na kwenye hips yanasaidia sana kuimarisha DHA (Docosahexaenoic Acid) ambayo ni moja kati ya kijenzi muhimu sana kwenye ubongo wa binadamu.

Kiasi kikubwa cha mafuta ambayo yanahitajika katika kuimarisha ubongo wa mtoto yanatoka kwenye hifadhi ya mafuta iliyokuwa kwenye mapaja na makalio, hivyo wanawake wenye maumbile makubwa kwenye sehemu hizo basi na watoto wao watakuwa na akili sana.

Pia utafiti mwingine uliofanywa 2009, kutoka chuo cha St Andrews huko Scotland unaonesha wanaume wengi wanapenda wanawake wenye shepu (curvy women) kwa sababu wanaonekana ndiyo wenye afya zaidi.

Hivyo ukitaka kutengeneza ka Einstein kingine unajua cha kufanya...

Haya sasa kazi ipo tusiokuwa na shape woiiiii View attachment 859205
It is not true!

Some of currents research outputs are staged in manner of promoting and implementing interest of few people in a world.

We are now in a economic warfare where individuals, institutions, countries are fighting to survive..

We just need to be care with manipulators..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom