Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mshambuliaji Mbelgiji Eden Hazard, 27, angeweza kuondoka Chelsea kuelekea Real Madrid iwapo Zinedine Zidane angebaki kuisimamia klabu hiyo ya Uhispania. (Hiet Niewuwsblad - kupitia Talksport)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paris St-Germain wako tayari kuipa Tottenham ofa ya pauni milioni 100 kwa kiungo wa kati wa Denmark mwenye miaka 26 Christian Eriksen. (Sunday Express)

Sent using Jamii Forums mobile app
Na upenda mpira cz ,umenipeleka nchi nyingi sana ,umenikutanisha na watu wengi sana ,ktk umri mdg tu

Na uchukia kwa sababu umenipotezea Sana muda, lkn pia umenipa tatizo la kudumu la goti



101-03-821.M|T|C
 
.
Screenshot_2018-08-27-21-49-28.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom