The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole mkuuLinapokuja suala la soka /mpira dah ,huwa sina la kuongea maana nikikumbuka naumia sana ,soka raha Sana ukilijua kulicheza ,vijana siku hz mna bet tu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Pole sana mzeevwa ugimbiNa upenda mpira cz ,umenipeleka nchi nyingi sana ,umenikutanisha na watu wengi sana ,ktk umri mdg tu
Na uchukia kwa sababu umenipotezea Sana muda, lkn pia umenipa tatizo la kudumu la goti
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji23] [emoji23] miguu ya kushoto
Oooh shunie kaulizia hali yko
Asee mie miguu yote inacheza Mkuu ,mpira uje kushoto au kulia huchukui ,nakumbuka niko mdg watu wazima wanakuja hm Mikocheni ,Kuniomba nikacheze,ni Mkubwa anajiuliza nyie watu wazima mnafuata huyu kuna nn? dah maisha haya
Wacha niendelee kubet...Asee mie miguu yote inacheza Mkuu ,mpira uje kushoto au kulia huchukui ,nakumbuka niko mdg watu wazima wanakuja hm Mikocheni ,Kuniomba nikacheze,ni Mkubwa anajiuliza nyie watu wazima mnafuata huyu kuna nn? dah maisha haya
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Na ugimbi ulianzia hapo ,maana unatoa burudani uwanjani, watu wazima wanakupongeza kwa hela,wengine ugimbi , wale wadada sasa wa 'usiniumizie' [emoji87]Pole sana mzeevwa ugimbi
Wakuu muwe na Good Time popote mlipo!! Mungu pia awalinde [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app