Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yuko wapi yeye?

Muite ajeeee hebu?
Ww ndo ulimshauri kuwa asije jf akiwa kwenye mfungo
Atakuja alhamisi
Halafu kasema umuunganishe na yule mlipa bill ya mamilioni ili na yy ayapate mahela kama yale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Ndio..

Naomba aendelee kukaa huko huko hadi amalize mambo ya ibada.

Mwambie nimpenda sana kwa kuchukua huo ushauri wangu.

Much blessings to her.
 
Back
Top Bottom