Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20180820-181443.jpeg
 
The silent twin
Part1

June na Jennifer Walikua Ni Mapacha Waliofanana Haswaa, Walizaliwa Mwaka 1963 Na Kukulia Sana Huko 'Wales'.
-
Hawa Wana Stori Flani Amazing, Walipewa Jina La Utani Kama " The Silent Twin" Kwa Tafsiri Isiyo Rasmi Ni 'Mapacha Walio Kimya' Hiyo Ilitokana Na Katika Ukuaji Wao Walikua Hawaongei Na Mtu Yeyote Isipokua Wao Tu, Na Kidogo Dada Yao...Maisha Yao Yote Walikua Ni Wao Tu, Hawataki Mtu Yeyote.
-
Marafiki Walikua Hawawataki, Na Wala Hawataki Kuongea Nao..Na Hata Wakiongea Wengi Walikua Wanashindwa Kuwaelewa Sababu Walikua Wanaongea Kama Lugha Kwa Kiingereza Tunaita 'Creole' Hopefully kwa Kiswahili Mnaita Kreole Sijui....

Lakini Creole Ni Lugha Ambayo Mnaiunda Kutokana Lugha Mbalimbali...Mfano Rahisi Wewe Unaongea Kiingereza Mimi Naongea Kiswahili...Hatuelewani..So Tunatengeneza Kama Maneno Ambayo Tunaanza Kuelewana Sisi Kwa Sisi...And Baadae Inakua Ndo Means Ya Communication....Means Yale Maneno Yanakua Common, And Inaibuka Lugha...Asilimia Sana Creole Huzuka Kwa Wafanyakazi Hasa Kipindi Hicho Cha Utumwa.
-
So Ndo Hawa Mapacha Walikua Kama Wamejitengenezea Ka Lugha Kao Wanakokajua Wao..So Kuwaelewa Ilikua Ni Kazi Sana,Ila Wao Ukiwacheki Ulikua Unaweza Kuwaona Machizi Lakini Ndio Wanaelewana Hivyo.
-
Kutokana Na Tatizo La Kutokuchangamana Na Wenzao..Wazazi Waliamua Kuwatenganisha Kwa Kuwapeleka Shule Za Bweni Tofauti, Lakini Hali Ndo Ilikua Vibaya Zaidi, Sababu Huko Kila Mmoja Akawa Kama Yu Chizi, Yani Hataki Kuongea Na Yoyote Zaidi Kumuhitaji Kila Mmoja Mwenzake..Hali Iliyopelekea Kuwakutanisha Tena.
Screenshot_20180822-145743.jpeg
 
The silent twin
Part2

Baada ya Kuwakutanisha Tena, Uhusiano Wao Ndio Ulizidi Maradufu Huku Wakitumia Muda Wao Mwingi Wakicheza Pamoja Na Kujifungia Kwenye Chumba chao Huku Wakiandika stori Mbalimbali na Kuziigiza Pamoja...Na Nyingi walikua Wakirekodi Na Kumpatia Dada Yao Kama Zawadi.
-
Walijaribu kutaka Kuuza Baadhi Ya stori Walizokua Wakiziandika Katika Baadhi Ya Magazeti Lakini Hawakufanikiwa Zaidi Ni Local Publishing Companies Baadhi Ambazo Zilikubali Kuchapisha Baadhi Ya Kazi Zao..Lakini Inshort Katika 'Career' yao Kama Waandishi Haikufika Mbali Kama Waandishi Wengine.
-
Baadae, Walianza Kufanya Uhalifu Kadhaa Lakini Ambao Unatajwa Sana Ni Uhalifu Kwa Kiswahili sijui nisemeje...Lakini kwa Kiingereza wanaita 'Arson'...Huo Ni Aina Ya Uhalifu Flani Ambao Mtu Anafanya, Afu Anaonesha Kufurahia Anachofanya...Mfano Kama Mtu Anachoma Shule Au Nyumba Na Ukimuuliza Nini Chanzo?? Hakuna Anachokujibu..Just Anajisikia Fresh Tu Kufanya Hivyo...So Walianza Kufanya Hivyo Vitendo Kama Wanaigiza Movies Hivi.
-
Kutokana Na Hilo, Lilipelekea Wapelekwe Katika Hospitali Ya Wagonjwa Wa Akili Ambapo Walikaa Huko Kwa Takribani Miaka 14.
-
Baada Ya Miaka Hiyo, Inasemekana Walichoshwa Na maisha Hayo..Hali Iliyopelekea Waamue Jambo...Na jambo Waliloamua Ni Kuwa Ili Waishi Vyema, Ni Lazima Mmoja Wapo Afe..Na Jennifer ndie Aliamua Kujitoa Kama Chambo.
-
Mwaka 1993, Walikua Wanahamishwa Toka Hiyo Hospitali Ya Wagonjwa Na Kupelekwa Katika Clinic Moja huko Wales Kwaajili Ya Kupatiwa Matibabu Zaidi Na ..Sababu Inasemekana Dawa Walizokua Wanapewa, Zilianza Kuwapa Madhara Badala Ya Kuwatibu.
-
Wakati wanashuka Jennifer Alikua Ajitambui, Hivyo Kukimbizwa Haraka ndani kwaajili ya Kumtibu, Lakini Baada ya muda mfupi akawa amefariki.
Screenshot_20180822-145830.jpeg
 
The silent twin
Part3

Alipohojiwa, Anasema Jennifer Tangu Jana Yake..Means Before Ya Safari Alikua Aki Act So Tofauti Sana.

Na Wakati Wa Safari Alikua Amelala Mapajani Mwa June, Huku Macho Yakiwa Wazi.

June Anasema Haku Notify Kama mwenzake Tayari Yupo Katika Hali mbaya...Kulingana Na maelezo Yake.

Pia Anasema kabla Ya Safari, Mwenzake Alikua Akiongea Kwa Shida Sana Huku Akimwambia Kuwa Anakufa.

Kwa Uchunguzi Wa Madaktari, Hakuna Walichopata Katika Mwili Wake Kwamba May Be Kanywa Sumu Or Kuna Kitu Kilichosababisha Apatwe Na Mauti..Na Wanasema Kifo Chake Ni Hakieleweki Eleweki Mpaka Sasa.

Baada Ya Kifo Chake, June Aliachiwa Na baada Ya Muda Mfupi Usimamizi Kwake uliondolewa Sababu Bado Alikua Monitored Kuogopa May Be Asije Jifanyia Jambo Baya Au Akafanya Jambo Baya....So Akaachiwa Kuendelea Na Maisha Yake na Mpaka Sasa Yu Hai.

Lakini Maswali Makuu, Ni Nini Chanzo Cha Kifo Cha Jennifer??? Wengi Wanaamini June Atakua Anajua Vyema Sana.. Pengine Ni Siri Yake Anayoijua Mwenyewe.

Mwisho.
Screenshot_20180822-145830.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom