[emoji524]TUOMBE:
Baba Asante kutuamsha salama siku ya leo tukiwa wazima .
Tunaomba Toba tusamehe..Tunajikabidhi mikononi mwako endelea kutupigania Mfalme wa Amani.Tuponye,Tubariki,Tuhuishe.
Tunajikabidhi sisi na kila tunalopitia Baba mikononi mwako..wafariji wafiwa wote wape mahitaji na tumaini wajane,wagane ,yatima watie nguvu waliipondeka mioyo.
Damu Takatifu ya Yesu Kristo inene mema makazini,safarini,katika masomo,kwa watoto na wahitaji wote wakutafute wewe .
Hesabu hatua zetu Roho Mtakatifu kaa nasi.Ni katika jina la Yesu Kristo naomba na kuamini Amen
JUMATANO NJEMA NA EID NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]