Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,288
- 95,597
NaamKapukuzi
Kwema za ww
Tupooo karibu
Njema ninge hbr ya mapumziko
Salama kabsa,,, salamu yangu ndio umeibania tyl?? kwa fitina za carbaNjema ninge hbr ya mapumziko
Uko poa eeeh
Shikamooo mkuu[emoji23] [emoji23]Salama kabsa,,, salamu yangu ndio umeibania tyl?? kwa fitina za carba
Sent using Jamii Forums mobile app
Marhaba binti,,, hivyo ndio inavyotakiwa Tumosa [emoji23][emoji23],,Shikamooo mkuu[emoji23] [emoji23]
Kumbe unaipenda eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa ntaiendelezaMarhaba binti,,, hivyo ndio inavyotakiwa Tumosa [emoji23][emoji23],,
Naipenda maana tyl ulikuwa umeshanianzishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko vema kabisaa, sijui wewe...Uko poa eeeh
Karibu jisikie home
Mie sijambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sana,,, unatumia kinywaj gani uagizie hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa ntaiendeleza
Nipo mkuu,, habari za jumapiliNawasalimu wote, wikend inaendelea kwa upande wangu Kama unataka kujua.
Anko Lyon Lee nimekuona mahali pokea salamu. Aunt Shunie nilisoma Magazeti simu ikawa haina bundle kujibu isipokuwa kulike tu. Tumosa mama JJ nimekuona, ningendako heshima yako.
Pamoja sana
Binamu shikamooo ashukuriwe mtekaji kakupa nafasi utusalimie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawasalimu wote, wikend inaendelea kwa upande wangu Kama unataka kujua.
Anko Lyon Lee nimekuona mahali pokea salamu. Aunt Shunie nilisoma Magazeti simu ikawa haina bundle kujibu isipokuwa kulike tu. Tumosa mama JJ nimekuona, ningendako heshima yako.
Pamoja sana