Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Me nakunywa togwa mkuu

Me nakunywa togwa mkuu

Mmmhh!!Marhaba binti,,, hivyo ndio inavyotakiwa Tumosa,,
Naipenda maana tyl ulikuwa umeshanianzishia
Sent using Jamii Forums mobile app




Salama kabsa,,, salamu yangu ndio umeibania tyl?? kwa fitina za carba
Sent using Jamii Forums mobile app



andaeitini bhana.Binamu shikamooo ashukuriwe mtekaji kakupa nafasi utusalimie![]()
![]()
![]()
![]()
.
.....watekaji wa siku hizi wako POA sana, wanakupa hadi pasiwedi ya Wi-Fi ili udownload movie.
haya binamu nikitakie usiku mwema,kesho nayo ni siku

Jpili imekaa vizuri sana, natafakari kipigo cha Manyu huku nikiburudika na lite sababu Chelsea kampiga mtu jana kwa taaabu sana. Na Simba ikiongeza kombe lenye heshima kubwa duniani.


Mkuu pole aisee,, Jana tulimcheka Asenali,, leo yametukuta kipigo kile kimekuja mapema sana,,,kumbe wewe ni mzee wa uturuki hahahJpili imekaa vizuri sana, natafakari kipigo cha Manyu huku nikiburudika na lite sababu Chelsea kampiga mtu jana kwa taaabu sana. Na Simba ikiongeza kombe lenye heshima kubwa duniani.
This is Simba brazaz and sistaz
Ukishanipa SHIKAMOO, una kingine cha kunipa ama ni hicho tu?Shikamoo slim5
Unataka nikupe nn slim5
ShikamoooKumekucha salama ndugu
kwa ninvokupenda..... mimi chochote nitapokea tu!Unataka nikupe nn slim5