Makapuku Forum

Big point
 
Muziki: RIP Aretha Franklin

...inawezekana ikawa ni sababu tosha kabisa ya mimi leo kuja usiku namna hii, sio kawaida yangu na wengi wenu mu mashahidi wazuri kuwa huwa nawahi kuja na kuchelewa kuondoka na mara zote bila kujali ni muda gani lazima nitoe Hi. Nimechelewa sababu nilikuwa na majonzi makubwa upande wa muziki lakini maana nguli mwanamama Aretha Franklin. Wadogo mliomo humu jipeni tu muda mtafute habari zake mtajua mengi. Nimefurahi kukuona wangu mwenyewe husna muba

Kaondoka mapema, umri umekwenda na kaondoka akiacha jiji la Detroit jimbo la Michigani likiwa na mtaa wenye jina lake na huku sauti yake ikitangazwa (declared) kuwa maliasili, eeh, jifunze mengi. Alitumbuiza katika kuapishwa kwa marais watatu wa USa kuanzia kwa Carter (a977), Clinton (1993) na Obama (2009) wote wa Democrats na George W. Bush Republican akamtunuku tuzo ya juu kabisa ya kiraia ya Uhuru (2005).

Alijulikana katika muziki wa Soul lakini kama walivyo wengi wanamuziki wa enzi zake ilikuwa vigumu kwake kumtenganisha na Blues.
RIP Aretha


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…