Makapuku Forum

Makapuku Forum

van-gogh-self-portrait.jpg
 
...namjua mdau hana shida, ha hahahha, nilijua anatania ndo maana majibu yamekaa kiutani utani.

Mzima lakini? Michakato yako inaendaje, hoping ikikaa sawa utarejea jukwaani maana wewe ni mdau mkubwa
Mimi mzima

Makapuku ya zamani haiwezi kurudi tena maisha yamebadilika....
Si unakumbuka nilikuwa nawasisitizia kwamba ukipata muda wa kufurahia pamoja na marafiki utumie vizuri maana huwezi kujua kwamba kesho atakuwepo

Hivyo mimi nilishautumia muda wangu kipindi kile vya kutosha now maisha yamebana hivyo sina muda kama wa zanani
Maisha ni muda
...................
 
Mkuu..

Wasalaam
 
Nafurahi Kuwa Nilikuwa Mmoja Wa Makapuku Wa Wakati Ule Usioweza Kujirudia!

Nilipoamka Nilikutana Na Magazeti Ya @jimena,historia Ya Dikteta Mussolin5 Iliyosindikizwa Na Picha Murua Za Bitoz, Soga Za Hapa Na Pale, Baadaye Tulipata Top Ten Ya The book, Hakika Imebaki Kuwa Historia,yuko Wapi Mpiga Nyeto jonax Kikofia? Yuko Wapi Mkongo Man Werrason?, Namuulizaga Sana @makavel10 Alipo Dada Yangu Sweetiepie

Naifurahia Sasa Maana Sijui Baadae Itakuwaje!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom