ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
[emoji16][emoji16][emoji16]sawa dadaAkikujibu muulize tena ni kilugha gani
[emoji16][emoji16][emoji16]sawa dadaAkikujibu muulize tena ni kilugha gani
Ahaa sawa sawa wa mkoani mwenzangu,wa mjini kanambia nikuulize eti ni kilugha ganiNdio mkuu,, jina la kilugha,, sema linaandikwa nigendako ndio kwa usahihi zaidi
Kuanzia leio kila nikuonapo nitakuwa nakupiga mikwara tu
afu wewe ujuaji wako........oooh!Ebu weka picha kwanza ya korosho niamini kama unazo
Ndio tutaamini vp sasa kama ni natural haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bichwa lako wee..
Asa unataka tukubaliane na wewe ili tuonekane mazombie
[emoji109] [emoji109] Hahahahah mnaongea sana wa mjn
afu wewe ujuaji wako........oooh!
mbona hunijibu? uko wapi nikuletee? Hutaki kusema! Take care.... utakosa bara.... utakosa Pwani!Weka basi
mbona hunijibu? uko wapi nikuletee? Hutaki kusema! Take care.... utakosa bara.... utakosa Pwani!
Mimi ni mchimba chumvi tu mkuuKhaaaaa we baba usinifanyie hivyo wewe ni mjeda eenh au mtu wa mara
Mimi ni mchimba chumvi tu mkuu
Nipo chattle city hahahOooh sasa we upo mkoa gani ninge
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mfyuuuu ila za wenzako ndo unapenda zianikwe eeHahahah nijianike jf itasimama ebu ninge niache
Kabsa,, mkoani vitu fake fake hatuvitaki hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bichwa lako wee..
Asa unataka tukubaliane na wewe ili tuonekane mazombie
Mnaanika nini tena[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mfyuuuu ila za wenzako ndo unapenda zianikwe ee
[emoji43][emoji43][emoji43]una maanisha chato au sijaelewaNipo chattle city hahah
Hicho kinyarwanda jirani yanguAhaa sawa sawa wa mkoani mwenzangu,wa mjini kanambia nikuulize eti ni kilugha gani
Eeeh hyo hyo chato jirani[emoji43][emoji43][emoji43]una maanisha chato au sijaelewa
Nipo chattle city hahah