Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Na yy si wa daslamu yule,, lazma akufagilie tuKweli jamani muulize tumosa akija ananijua
Na yy si wa daslamu yule,, lazma akufagilie tuKweli jamani muulize tumosa akija ananijua
Na yy si wa daslamu yule,, lazma akufagilie tu
Tunaanza na sura,feki wowowo feki kichwani feki kope feki kucha feki kila kitu feki feki tu ndo maana mnaonekana mabeb kumbe mmezeeka ndani kwa ndani![]()
mkuu umemaliza kila kitu hapo
Hivi ningendako ni jina la kilugha
Hahahahaha labda wewe tu sasa wenzio walio baki ndo wapo hivo..kwahiyo wengi wapeeWoiiiii mm situmiagi hivyo kila kitu changu ni natural
Hahahahaha labda wewe tu sasa wenzio walio baki ndo wapo hivo..kwahiyo wengi wapee
Hebu tuone kama kila kitu ni naturalWoiiiii mm situmiagi hivyo kila kitu changu ni natural
Ndio mkuu,, jina la kilugha,, sema linaandikwa nigendako ndio kwa usahihi zaidiHivi ningendako ni jina la kilugha
Umeipenda ?Yaan una mikwara jamani kama I'd yako woiiii
Akija ntamuuliza aiseeHapana huyo wa mkoani mwenzako
Hebu tuone kama kila kitu ni natural
Hahaha,,,hili jina lina asili ya Rwanda,, ila sio mtu wa huko, sema niliitwa hilo jina na binamu angu,, ndio alikuwa mtu wa hukoAkikujibu muulize tena ni kilugha gani
weraaaaaa
![]()
Umeipenda ?
Hahaha,,,hili jina lina asili ya Rwanda,, ila sio mtu wa huko, sema niliitwa hilo jina na binamu angu,, ndio alikuwa mtu wa huko
Kuanzia leio kila nikuonapo nitakuwa nakupiga mikwara tuHapana mkuu wangu hiyo mikwara yako nilivyo muoga mm
Ndio tutaamini vp sasa kama ni natural hahaHaahahaha unataka nijianike hapa
Pale wa mkoani wanavyopeana moyo



bichwa lako wee..weraaaaaa
![]()
Hahahahah mnaongea sana wa mjnPale wa mkoani wanavyopeana moyo