Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Hahahhahah nakutumia pm
mfyuuuu ila za wenzako ndo unapenda zianikwe ee
mfyuuuu ila za wenzako ndo unapenda zianikwe ee
Shikamoo mkuu tunaanika pichaMnaanika nini tena
una maanisha chato au sijaelewa
Eeeh hyo hyo chato jirani
Anikeni tu hazina madharaShikamoo mkuu tunaanika picha
Sijakuuliza wewe alaNdiwoooo acha ushamba
Hahahah na wasukuma,, wanapenda sana totoz nyeupe,,, unapigwa ng'ombe wa kutoshaWoyooooooo wazee wa ngombe nasikia mnapenda totoz nyeupe nyie
Anikeni tu hazina madhara
Mfupi(andunje)Mchimba chumvi ndio yupoje huyo
Sijakuuliza wewe ala
Hahaha atakuwa jirani yangu huyu wallahMsikute mpo mkoa mmoja
Ahaaama mmelipamba
Hahaha atakuwa jirani yangu huyu wallah
Hahahah na wasukuma,, wanapenda sana totoz nyeupe,,, unapigwa ng'ombe wa kutosha
Sawa mkuuMfupi(andunje)
Aaah,, tumelipamba na lenyewe lionekane la mjini kama kwa kina shunie hahahAhaaama mmelipamba

Aaah,, tumelipamba na lenyewe lionekane la mjini kama kwa kina shunie hahah