Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977





Nimecheka kwa sauti woiiiii
mxieew....kwamba sisi ndo tumekomaa sana au





Nimecheka kwa sauti woiiiii
mxieew....kwamba sisi ndo tumekomaa sana au
Nina hela ktk TTCL Money.... una namba ya TTCL Pesa?Haya nitumie hela ya Uber nikuje kufata korosho
Nimecheka kwa sauti woiiiii




ndo utuambie hiyo shkamoo inakujaje kwa wa mikoani
Mfyuuuuu nitumie ttcl mm mkulima baki na ttcl money yakoNina hela ktk TTCL Money.... una namba ya TTCL Pesa?
naomba usisuse... hizi korosho mi ntazipeleka wapi? nielekeze basi nikaziache wapi? nitazipeleka mwenyewe kwa baiskeli yangu!Mfyuuuuu nitumie ttcl mm mkulima baki na ttcl money yako
Hahahahahahahahahaha......jamani nini tuambie,kwani ninyi mnafanyaje mpaka shkamoo haziwahusuJamani jamani
naomba usisuse... hizi korosho mi ntazipeleka wapi? nielekeze basi nikaziache wapi? nitazipeleka mwenyewe kwa baiskeli yangu!






Hahahahahahahahahaha......jamani nini tuambie,kwani ninyi mnafanyaje mpaka shkamoo haziwahusu
Sisi wa mjini hazituhusu huku kila mtu babe![]()




nyoooooooo....kwahiyo wa mikoani vibibi na vibabu



![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shikamooo dada
Shunie kumbe mhengaMfyuuuuu
Shunie kumbe mhenga


kahenga hako kabibi gagula nashangaa anatukazania kutusalimia wa mikoanikahenga hako kabibi gagula nashangaa anatukazania kutusalimia wa mikoani
hapo juu kamejisema kuwa mjini kila mtu bae

Shunie kumbe mhenga





Mjini huku wote mababy
kahenga hako kabibi gagula nashangaa anatukazania kutusalimia wa mikoani
![]()
![]()
![]()
hapo juu kamejisema kuwa mjini kila mtu bae
![]()
![]()