Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,279
- 35,642
...ha hahaha, ana nguo za kuogelea kwanza? Sio tunafika anachojoa kama anataka kulala kwenye ndoa.
kwenye ndoa wanalalaje binamuSawa binamu...utapajua tu, jiandae tutaenda na BH, mama yenu
Wouzeeeeeeerrrrr.



























Nakojoaaaaaaaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
ewaaaaa mambo ni fiiiire
Shululu sio mjinga mpaka afumaniwe
...ha hahaha, ana nguo za kuogelea kwanza? Sio tunafika anachojoa kama anataka kulala kwenye ndoa.
Habari zenu ndugu wenyenchi?
Yangu iko poa etSalama habari yako mkuu
Nafurahi kusikia hivyo karibuYangu iko poa et
Nashukuru kwa kunikaribisha mwenyeji wangu.Nafurahi kusikia hivyo karibu
Nguo hana itabidi umtafutie
Mnavaaga tuchupi binamu labda aanze mama ndo na mm ntavaa...itabidi aje nimpime ili nimchagulie inayomfiti, si unajua tule tuchupi twa bichi haipendezi akaavaa kinamtepeta
Mnavaaga tuchupi binamu labda aanze mama ndo na mm ntavaa
Mke mwee nenda kapimwe usije ukatia aibu kutuvalia mtepeto...itabidi aje nimpime ili nimchagulie inayomfiti, si unajua tule tuchupi twa bichi haipendezi akaavaa kinamtepeta
Muziki: Sijachelewa
...natumaini ulikuwa na wikend njema Kapuku mwenzangu, upande wangu ilikuwa poa sana full kuogelea na nikwambie kitu, sikujua najua sana kupiga mbizi hadi nilipotupia zile bia za wasio raia (polisi) safari lager. Nilijiona napiga mbizi za kufa mtu na nisikuchoshe kwa kukuelezea wikend yangu ilivyokuwa maana yako hujataka kuisema, unaificha kama mtu aliyekula makande ya mbaazi. Nakusalimia mdau na kukuambia kuwa bila wewe jukwaa hili halina nguvu yoyote. Nimekuona moudgulf wikend ukapotea tena.
Muziki sasa, sijachelewa kama nilivyosema, nilikuwa nakuja ila njiani nikakutana na ahadi yangu moja ikabidi nikaitimize fasta bila kuchelewa na wewe nisikucheleweshee burudani mwanzo wa juma hili tunaloamini litakuwa poa kabisa. Nakupenda mdau wa Makapuku na uwe na wakati mzuri