Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
SikwendiKwendraaaaa
SikwendiKwendraaaaa
Shikamooo binamu
Hauzimiiiii moto moto binamu. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Uliogelea wap binamu kwenye bwawa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]...marhaba binamu, naamini wikend ilikuwa nzuri upande wangu ilikuwa poa sana, huwezi amini namna nilivyoitumia kikamilifu. Nilienda kuogelea.
Unajua kuogelea wewe? Au ndo unatoka mitaa ya Machame au Uyole
Mambo ni hivi[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] binamu..okay, sasa kama hauzimi, unaunguza kweli au ni wa mapambo
Binamu jamani vitumbua gani hivyo tulikuwa mmu uko ndio ban ilipotupatia hakuna kosa la ajabu mods waliamua tu
Sikwendi
...marhaba binamu, naamini wikend ilikuwa nzuri upande wangu ilikuwa poa sana, huwezi amini namna nilivyoitumia kikamilifu. Nilienda kuogelea.
Unajua kuogelea wewe? Au ndo unatoka mitaa ya Machame au Uyole
Ndiwoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuuuu
..okay, sasa kama hauzimi, unaunguza kweli au ni wa mapambo
Mambo ni hivi[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] binamu
Uliogelea wap binamu kwenye bwawa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mjomba wako alikuulizia nilimwambia weekend huwa unatekwa
Ndo wap[emoji134] [emoji134] [emoji134]Binamu unataka kumpeleka beach
...okay mmu huko kunatisha hukawii kumtukania mtu kiungo chake pendwa akakuripoti. Safi, me kuna mod ilibidi aniweke kwenye uangalizi maalum jukwaa la siasa, miaka ya zamani hiyo sio sasa
Ebu ukoNdiwoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo wap[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilisika wanakula gimbi sijui hogo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]...me kuogelea bwawani ndo napenda maana bwawa ukienda mbali kidogo tu unakutana na tope, unajisugua miguu hadi kagere keupe mwalimu anakopenda unakapata unarudi bwawani tena kwenye maji safi unajitakatisha.
anko wangu katekwa siku nyingi, sijui ABJ kampa nini wallah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ewaaaaa mambo ni fiiiire
Binamu unataka kumpeleka beach