Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hapa kwema kabisaNjema kabisa Tumosa za hapa
Karibu tena
Hapa kwema kabisaNjema kabisa Tumosa za hapa
RafikiMweeeee
AbeeeeeRafiki
HujamboAbeeeee
Sijambo hbr ya wkendHujambo
Wkend nzuri,cjui weyeSijambo hbr ya wkend
AhsanteHapa kwema kabisa
Karibu tena
WouzeeeeerrrKwa kweli unazidi kukoleaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salama mkushi za wwSalam makapuku
Inaonekana Kimenuka sehemu hukoHauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiii![]()
Kimenuka toka jana tunamweka sawa pugi na mapugi wenzie wanaoshikiana vichwaInaonekana Kimenuka sehemu huko
Duh, kazi wanayo,wamewachokoza ,haya ngoja tumalizie week end ,karibu RafikiKimenuka toka jana tunamweka sawa pugi na mapugi wenzie wanaoshikiana vichwa
Duh, kazi wanayo,wamewachokoza ,haya ngoja tumalizie week end ,karibu Rafiki
Asee,avumilie tu km kakataliwa ,haya nikuache ,utoe dozi huko ,nilikua nasalimia tu hapaMwanaume kutwa kushindana na wanawake kuwasema vibaya kisa umetongoza umekataliwa kazi kuongelea vibaya na kuwaanzishia thread huo si umama asante
Njema kabisa n vipSalama mkushi za ww
Mwanaume kutwa kushindana na wanawake kuwasema vibaya kisa umetongoza umekataliwa kazi kuongelea vibaya na kuwaanzishia thread huo si umama asante
shunie akiwa na Jazba