ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Hatuwezi mkuu
Mshikaji kawatania tu...tumeshatoka na tumebaki na ukapuku wetu, una tatizo na hili kwani?
Mzima kaka akeMshikaji kawatania tu
Huyo ni mtu poa sana hana kwere na mtu
Don't take it serious
............
Mimi mzima kabisaMzima kaka ake
We miss u
PoapoaMimi mzima kabisa
Ahadi yangu ipo palepale nikiwa pande za Green City nitakutafuta
.. . . .
Mshikaji kawatania tu
Huyo ni mtu poa sana hana kwere na mtu
Don't take it serious
............
Mzima wewe?Heshima yako baba mchungaji
Tupo hapaMakapuku wenzangu
Morning ...tuletee shunie wetu au na yeye ulimpa magimbi akapotea mazimaMorning Guys
Hapana Huyo Sijawahi Kumpa, Ila Kama Anataka Utanitag 😀Morning ...tuletee shunie wetu au na yeye ulimpa magimbi akapotea mazima
AbeeeeMakapuku wenzangu
Morning IyeguMorning Guys
Salama Madame, Za Kuamka!Morning Iyegu