Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki wa Mdhamini: Beba Jamvi Kwenye Mkeka

...najua muda umeenda na wengine ndo tunafurahia kabisa Ijumaa/ Furahiday, siku ambayo haina makeke, ina rangi ya hudhurungi, haiumizi macho na haionekani kama ni chafu au safi, kifupi tu ni mwanzo wa wikend na kwa sababu hii aunt yangu Shunie kaamua kudhamini nyimbo hii ya mopao, chifu mwenyewe imburudishe yeye mwenyewe. Lakini hata ABJ anaipenda hii nyimbo, hamu zimegongana na kama kawaida mkeka ukichanika beba jamvi. Wale wa wodikapu kama Tumosa mnajua nasema nini, mambo ya kubet na kulala kwa mchepuko. Kuwa makini leo na kesho hakuna mechi labda ucheze mechi zako za nje, zina gharama

Uwiiiii binamu sio hii jamani hii ni mpya
 
...haahahha, nimecheka maana hii ndo anaimba malembeee malembe na ABJ akasema y...ya mama eee
giphy.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom