Makapuku Forum

Makapuku Forum

...sentensi inajichanganya, kama hujaingia kitambo humu utawaonaje. Au sijakuelewa, maana wikend kwangu huwa haidanganyi
. Namaanisha kwenye huu uzii ndo sijaingia. Buy hao watu nilikuwa naonana nao kwenye nyuzi zingine.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu mm kwenye majini siwajui ukitaka twende kanisani ikaombewe

...okay, nilisahau kuwa wewe mambo ya kienyeji hupendi. Sasa huko kanisani muombeaji akitaka na yeye simu kama yangu tunafanyaje? Ujue anaweza kuomba sadaka burebure tu.

Ila kama huwajui wenye majini maana yake hata limbwata wewe hutumii, utapata tabu sana, just saying

girl-fails-funny-gifs.gif
 
. Namaanisha kwenye huu uzii ndo sijaingia. Buy hao watu nilikuwa naonana nao kwenye nyuzi zingine.

...sasa nimekuelewa mdau, walichukua likizo ya bila malipo, watarudi hapa.
Ni jambo zuri umekuja hapa maana inapendeza kukuona hapa. pamoja sana
 
...okay, nilisahau kuwa wewe mambo ya kienyeji hupendi. Sasa huko kanisani muombeaji akitaka na yeye simu kama yangu tunafanyaje? Ujue anaweza kuomba sadaka burebure tu.

Ila kama huwajui wenye majini maana yake hata limbwata wewe hutumii, utapata tabu sana, just saying

girl-fails-funny-gifs.gif
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atapata tabu sanaa
 
...okay, nilisahau kuwa wewe mambo ya kienyeji hupendi. Sasa huko kanisani muombeaji akitaka na yeye simu kama yangu tunafanyaje? Ujue anaweza kuomba sadaka burebure tu.

Ila kama huwajui wenye majini maana yake hata limbwata wewe hutumii, utapata tabu sana, just saying

girl-fails-funny-gifs.gif
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo simu yako aina gani binamu mpaka mtumishi aitamani
 
...ni hizi mpya nzuri nzuri, Tecno Phantom 6, ina muziki mkali ukiweka loudspika hata spika za msikitini hazifui dafu. Ina rangi ya silver. laini mbili. Ukienda kuoga unaweza kuiweka karai na isizime

giphy.gif
 
Tecno Phantom 6 ni toleo jipya eenh binamu
...ni hizi mpya nzuri nzuri, Tecno Phantom 6, ina muziki mkali ukiweka loudspika hata spika za msikitini hazifui dafu. Ina rangi ya silver. laini mbili. Ukienda kuoga unaweza kuiweka karai na isizime

giphy.gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio mana nimeshangaa toleo la zamani kumbe mpya binamu kuimiliki kwako
...yeah, ni mpya kabisa, sio used. Ila kuna watu walisemaga waliionaga zamani, mimi sikuiona kwa hiyo ni mpya. Nimeinunua Kenya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio mana nimeshangaa toleo la zamani kumbe mpya binamu kuimiliki kwako

...ha hahahah ndo hivyo. Ila nina uhakika hao walionunua zamani hawakuinunua nchi ya kigeni nchini Kenya
 
Back
Top Bottom