Makapuku Forum

Makapuku Forum

Imani ni hakika ya usiyokuwa na hakika nayo. Ni imani yangu wote mko vizuri na ni jambo zuri Makapuku kuwa hewani tena.

Kuna jipya?
 
Yaan Obe Lyon Lee sijui yupi jamani na mbalizi1, shululu Bailly5

Binafsi nipo, nimepata leseni ya kuendesha bodaboda, hivyo siku JF ilipokuwa kifungoni was fanyaling mazoezi ya kuendesha.

Hujambo aunt yangu?

Makapuku wenzangu naimani maisha yanasonga.

Labda tu niwajulishe mjomba wangu Lyon Lee aliteguliwa mbavu baada ya kudanganya anaenda kuangalia wedikapu siku ya Ijumaa, aunt yangu si wa mchezo mchezo, kapata tabu sana
 
IMG_20180702_085941.jpeg
IMG_20180702_085907.jpeg
Wakuu nawasalimia......
Kitambo sana
 
Binafsi nipo, nimepata leseni ya kuendesha bodaboda, hivyo siku JF ilipokuwa kifungoni was fanyaling mazoezi ya kuendesha.

Hujambo aunt yangu?

Makapuku wenzangu naimani maisha yanasonga.

Labda tu niwajulishe mjomba wangu Lyon Lee aliteguliwa mbavu baada ya kudanganya anaenda kuangalia wedikapu siku ya Ijumaa, aunt yangu si wa mchezo mchezo, kapata tabu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom