Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Welcome back mkuu..Nzuri tu
Nasikitika siku hizi maisha yanebadilika sio kama zamani ila mwisho wa mwaka nikitimba Green City naweza nikakutafuta........
Uwe na Jioni Njema
..............



Tumo unatafutwa huko KT...Umeshindaje
Wengine wako wapi,wanaangalia wodikapu![]()
![]()
![]()


Natafutwa na nani mm jamanTumo unatafutwa huko KT...![]()
Kuna mtu anajiita sijui Muthani..?Natafutwa na nani mm jaman
Ndugu zangu c mmerudi wote huku
Au ulishapata ndugu huko nini?Natafutwa na nani mm jaman
Ndugu zangu c mmerudi wote huku



Cna ndugu mwenye jna hlo shemela anasemajeAu ulishapata ndugu huko nini?![]()

Anasema sijui ulimpa email fake...!Cna ndugu mwenye jna hlo shemela anasemaje![]()
![]()
![]()
![]()



Wako KT labda...Mkuje jamani
Mmeshalainisha vyuma inatosha
Mje mpumzike![]()
![]()
![]()
Sijawahi shemela labda kanifananishaAnasema sijui ulimpa email fake...!![]()
KT ndio wapi huko?!Kule kubaya![]()
![]()
![]()
![]()
Jamiiforum ilipotoweka hewani tulikuwa tunapoteza muda JamiiForums.comKT ndio wapi huko?!