Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
AnakujaNamtafuta mcute wangu
AnakujaNamtafuta mcute wangu
Mm baba mkubwa
Mimi nipo Mkuu nitaenda wapi,hapa nimefika
Afadhali maana niliwamis sana kwakweliWazima jamani
Hahaha,huku nilikoWapi huko umefika
Afadhali maana niliwamis sana kwakweli
Hahaha,huku niliko
Niefichwa sijui hata ni wapi,mimi najua kula raha tuHakuna jina eenh
Niefichwa sijui hata ni wapi,mimi najua kula raha tu
Alafu sasa yani hali ya hewa inaruhusu kabisaWoyoooooooooooo raha ya kufiwa mfichane
Hahaha,unapendaee,mvua hizi matokeo yake yataanza kuonekana mwezi wa 11Wooooooozeeeerrrr![]()
Hahaha! Amna mkuu it's just a salamu, kwema ndugu? Za majuma kadhaa?Kwani kulikuwa na habar gani kabla
Hahahaa! Wengine sijui wako hai bado..My love tumosa
Shemela shunie
Shemeji sakayo
Dj Obe
Chaplin
Hatimaye makapuku on air


Hahahaaaaa...Kule kunabore kutumia browser yaani toka ile siku tuliyoonana sijaingia tena na jf ndio imerudi sirudi tena



Pole pole shunie..Kunachosha shemela na browser hawana app yaani
Broo.Kule ilikuwa michosho tu
Niaje mkuuBroo.