Makapuku Forum

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wacha kabisa
 
...ha hhahhaa, watu hata hatujaanza kunena kilugha tukiongozwa na mzeewakungoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa kukunda
 
...nimekiona, nashukuru sana, sasa ninajiandaa kukuletea bajeti ya idara yangu, wewe si ndo unashika hela?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
 
...safi sana, hii band inabidi ifanye vizuri zaidi tuteke soko na watu wote waje. Kama unajua kukatika vizuri utakaa safu ya mbele, ila kama ni mzito fulani hivi kama unatokea milimani inabidi uje nikuelekeze kwa vitendo mpendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
BH atawaombea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka hakya mama,yani ondoa shaka humo ndo mwangu kiuno kinaenda ka feni
Mfogo wangu umeharibika[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…