Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shunie kwema? Bwana mdogo kapata nafuu? Mpe pole sana
tapatalk_1528287531393.jpeg
 
Kwema msukuma jamani za wewe nimeipenda hiyo picha watakoma makapuku kila mda nitakuwa nawapostia

Bwana mdogo hajambo kiasi msukuma usijali salaam zimefika
Kule upande mwingine tunaiita picha ya lijimoto. Badala ya kuweka huto tuemoji twa moto unaweka tu hii na unakuwa umemaliza kazi. Namtakia uponaji wa haraka. Kule tumemmiss sana !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom