Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Ujana Unapita Kasi

...kuna wakati nakaa na kutizama nilipotoka na kupita, nimepitia mengi. Yapo yanayonihuzunisha na kusema bora nisingefanya na yapo mengi yanayonijengea tabasamu na kunifanya nijisikie wa kipekee na hiki ndo kinanifanya nikusalimie wewe Kapuku unayenisoma muda huu. Ujue nini, kuna kitu huwa sitachoka kukwambia, unakijua na ninakukumbusha tu. Wewe ni wa kipekee na uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Asante.

Ujana maji ya moto, sasa hapa ndo utashangaa kwanini vijana wanaoga maji ya baridi na wazee tunaoga maji ya uvuguvugu.

Muziki sasa, burudika kuelekea Ijumaa na video imeganda

Binamu asante

wooooooooooooooooozeeeeeeeeeeeerrrrrrrrr
tapatalk_1528367536799.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom