Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Unazurula sana siku hizi
Aiseee!
Aiseee!
Sio bure ww
Sio bure ww
We nenda katafute mioto hyoEbu tulia hapa ulinde jukwaa
Fayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!













































Fayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!
Mmmh
Asante Shunie kwa magazeti, nimeyasoma na nimejisikia vizuri sana. Niseme nini tena kingine kama neno shukrani lisipototosha!?
wadau wote, kwema? Kuna jipya?
Kama hakuna jipya basi tuendelee na utaratibu na ni nzuri kumuona kila mtu hapa
![]()
Mmmh
Shikamoo binamu
Tafasiri Unavyoweza: Jifunze Kipya Kila Wakati
.....sababu kubwa inayonifanya kutembelea hapa na kusoma mengi ni kwa sababu ninajifunza mengi sana kutoka kwenu wadau wa Makapuku na JF kwa ujumla. Kujifunza mengi ni jambo zuri kwa mtu binafsi na jamii kwa ujumla. Bila kujifunza na kujua mengi, kila siku wengi wetu tungekuwa tunatapeliwa zaidi ya tunavyotapeliwa sasa. Kujifunza mambo mapya ni nzuri kwa afya ya ubongo pia huongeza furaha. Ujinga ni kutokuona miti kwenye pori. Tafasiri unavyoweza.
Usijedhani kujifunza kitu ni jambo rahisi, linahitaji gharama na nyingi si gharama ndogo, kwa mfano, unahitaji muda kuingia humu JF, unahitaji bando na vitu kama simu, ni. Unaweza kujifunza kwa kutembea pia, unajipa nafasi ya kuona mengi. unajifunza kwa kuuliza ili ufahamu, unajifunza pia kwa kuwafunza wengine. Na unajifunza zaidi kwa kusoma machapisho na hapa ndo kuna shinda. Ndiyo, ipo shida kwenye kusoma na kujisomea.
Ni ukweli kuwa maarifa unaweza kuyapata kwa kuangalia (observing) lakini ukijisomea vitabu na majarida/mitandao kama huu wetu basi nafasi ya kujifunza mengi ni kubwa kuliko kukaa bila kusoma. najua wapo tunaoogopa au hatupendi maneno (words) marefu. Binafsi navutiwa kusoma kama ni kitabu basi maneno yaliyokaa kama ushairi fulani hivi, mafupi mafupi sio marefu maana hunipa uoga wa maneno marefu kwa lugha nyingine ninaogopa maneno marefu (hippopotomonstrosesquippedaliophobia)
Kwako wewe mwanaKapuku, usichoke kujifunza na kutunza wengine maana unaupa ubongo wako furaha na kutuongezea maarifa wengine kila siku. Tukutane wiki ijayo
..marhaba aunt yangu, umeshindaje siku ya leo? Mimi sijambo na kila siku ni furaha kukuona
ShikamoooFayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!
Shikamoo binamuAsante Shunie kwa magazeti, nimeyasoma na nimejisikia vizuri sana. Niseme nini tena kingine kama neno shukrani lisipototosha!?
wadau wote, kwema? Kuna jipya?
Kama hakuna jipya basi tuendelee na utaratibu na ni nzuri kumuona kila mtu hapa
![]()