Makapuku Forum

Makapuku Forum

....kama nimekuelewa sawa sawa! Nadhani unaandika maneno kwenye link (maneno yako)

Unapaswa kuandika maneno na kama unatumia keyboard basi bonyeza enter ndo ubandike link.

Kuandika na maneno inawezekana kwenye pictures na gif (inasupport still pic na animated)

Naamini nimekuelewa
Naamin mmeelewana
 
Sisi wengine tunajipendekeza kusoma sio..


...ha hahaha, ni kama mali ya umma, fikiria taa za barabarani/mitaani zimewekwa kwa ajili ya walipa kodi lakini hata wasiolipa kodi wanafaidika nazo ha ahaha, najua mfano haujakaa sawa lakini kuna uhalisia sababu mimi huwa nayaomba sasa na wasiyoyaomba wanayasoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom