Makapuku Forum

Makapuku Forum

...ha hahaha, ni kama mali ya umma, fikiria taa za barabarani/mitaani zimewekwa kwa ajili ya walipa kodi lakini hata wasiolipa kodi wanafaidika nazo ha ahaha, najua mfano haujakaa sawa lakini kuna uhalisia sababu mimi huwa nayaomba sasa na wasiyoyaomba wanayasoma
Waliomo na wasikokuwemo wote wamo.
 
..tumeelewana, ana kichwa chepesi, yaani kaelewa mara moja tu. Ingekuwa ni darasani huyu ni wale wanafunzi wanaokaaga mbele kabisa halafu wana urafiki na monita
Kujibu maswali darasin wepesi, balaa ikija kwenye pepa wanazoa namba za viatu..
 
Binamu kunywa kinywaji chochote halafu bill ikuje kwako
...ha hahaha, ni kama mali ya umma, fikiria taa za barabarani/mitaani zimewekwa kwa ajili ya walipa kodi lakini hata wasiolipa kodi wanafaidika nazo ha ahaha, najua mfano haujakaa sawa lakini kuna uhalisia sababu mimi huwa nayaomba sasa na wasiyoyaomba wanayasoma
 
  • Thanks
Reactions: Obe

Similar Discussions

Back
Top Bottom