Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Niache na tabia yangu mbaya mkwendree uko
Tabia mbaya
Tabia mbaya
Mjukuu mwee wacha umbeya.... Kama unajua jibu
Sio mshipa huuMtaalamu akiongea uwe unamuelewa babu ukibisha ktakachokupata utakuja kuimba kwaya hapa
Me cjui babuMjukuu mwee wacha umbeya.... Kama unajua jibu
Yupo mkuu!!makaveli10 ulimpeleka wapi Sweetiepie?
Shunie akee acha unaa!!Maka akee ukuje uku unaitwa
Za mimi ni poa sijui ww shemela.Cjambo shemela za ww
Nashukuru kwa kunisaidia jirani.Yupo mapumziko, soon atarudi
Mpaka sasa ananidai 2573 pesa taslimu za kitanzaniaLeo Maka unamfurahisha kweli![]()
![]()
![]()
Hivyo hivyo ndugu yangu..Afurahi tu maisha yenyewe mafupi haya
Achana na hizo mambo hatutaki
Kwani vipi shunie akee!!Hivi nani amekuulizia jamani au we ndio msemaji wa kapuku khaaa ebu vunga achana na hizo mambo wakijisikia kuja sawa wasipojisikia sawa maisha mengine yanaendelea na makapuku itaendelea kuwepo tu

Basi tena bibi wewe kah!!!akwendreee uko asituchoshe watu wasione bila wao makapuku haiendi tupo na tutaendelea kuwepo pamoja wao ndio waanzilishi
Hahaha unaa wangu nilivyokuita eenhShunie akee acha unaa!!