Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Kipengele gani hiko jamani
Moneytalk kakuharibu kwenye hcho kipengele![]()
![]()
![]()
Moneytalk kakuharibu kwenye hcho kipengele![]()
![]()
![]()
Na ww kibibi gagula inakuhusuMfyuuuuuuu zako shikamoo inawahusu nyie wa mikoani

Ndio kwamba babu alipeleka unaa kwa sred ya watu hajui kama ya huku yanaishiaga hukuhuku
Babu anazeeka vbaya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Na ww kibibi gagula inakuhusu![]()
![]()
![]()
Jana hiyo kamkuta mbalizi anaanza unaa wake jamani inahusu nn ngoja sakayo mwenyewe asikie
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uzee unamsumbua babu
Utaamkiwa tuu![]()
![]()
![]()
![]()






akwendree nae wenzake wanaiga kutafuta mahela uko
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ww ndo unamharibu mbalizi
Yupo mapumziko, soon atarudimakaveli10 ulimpeleka wapi Sweetiepie?
Nzuri kabisa shemela,D hajamboSafi shemela za wewe jamani
Tetramelyz utamuona sasa hiviHata hatujui walipo
Hajambo shemelaNzuri kabisa shemela,D hajambo
Leo Maka unamfurahisha kweli![]()
![]()
![]()