Tetramelyz utamuona sasa hivi
HahahahaNasi twakupenda zaidi kapuku muheshimika.
AbeeeeSio hata uzee kila siku sakayo anamsema jamani
Nawazoom tuu akiJana hiyo kamkuta mbalizi anaanza unaa wake jamani inahusu nn ngoja sakayo mwenyewe asikie
Mbona unamjua.Ni nani huyo
KhaaaaWa mikoani shikamoo ndio yenu jamani inawafaa kabisa
Yaani mechokaaaaNani alikuteka eti
MfyuuuuuuuuuShikamooni wote jamani
Hivi nani amekuulizia jamani au we ndio msemaji wa kapuku khaaa ebu vunga achana na hizo mambo wakijisikia kuja sawa wasipojisikia sawa maisha mengine yanaendelea na makapuku itaendelea kuwepo tuJimena nafikiri yeye hayupo kabisa jf
Mussolin yupo humu humu
Bailey naye yupo humu humu
Linamo yupo yupo sports Kwa sana
Abeeee
Nawazoom tuu aki
Husna auMbona unamjua.
Kuna wa kuniteka basiiiNani anakuteka teka jamani
HahahaTuzoom tu jamani