Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shikamoo babuNafurahi sana kusikia hivyo mjukuu wangu
Shikamoo babuNafurahi sana kusikia hivyo mjukuu wangu
Shikamoo
Nachokuaminiaa anko ni hapo huwa unanizunguka lakin kwa aunt yako sijawah kusikia au unafanya kimya kwa siri kubwa ??...nalijua sana, ni aunt yangu, mke wa anko wangu. Incest haina nafasi kwetu japo huwa tunakumbatiana na kupigana mabusu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Na ww umehamia mjin ambako kila mtu baby
Nachokuaminiaa anko ni hapo huwa unanizunguka lakin kwa aunt yako sijawah kusikia au unafanya kimya kwa siri kubwa ??
Hatujambo binamu hofu kwako...mama JJ, hebu acha kunipa shikamoo muda huu, unaruhusiwa kuninong'oneza na kusema 'baby Obe shikamoo' nami nitaitikia kwa tabasamu na kama umejipulizia unyunyu mzuri ninaweza hata kukupiga busu
Ni utaratibu tu.
Hujambo lakini
...nope, bado nipo huku huku nilipo, huku ndo tunaitana baby kabisa bila shida, tena unaweza hata kupayuka kabisa BaBBBBBBBBY
sio nyie wa mjini mnaitana baby kwa sauti ya polepole

Babu yupi huyo Obi?...nashukuru Nasra kafunga vinginevyo timbwiri lake lingekuwa la kuanzia mwezi wa sita. Sasa ulifanikiwa kumlipa yule mrangi maana alikuja kudai kuwa ulimla kwa mkopo, eti unasubiri upate mafao ya babu
Hapo ndo uwa unawamaliza wake za watu...mama JJ, hebu acha kunipa shikamoo muda huu, unaruhusiwa kuninong'oneza na kusema 'baby Obe shikamoo' nami nitaitikia kwa tabasamu na kama umejipulizia unyunyu mzuri ninaweza hata kukupiga busu
Ni utaratibu tu.
Hujambo lakini
SawaBabu we sio msemaji wangu jamani
Kizuri tunakulaga wote lakin...anko, mimi siwezi kukuzunguka, ila wewe ndo unanifanyiaga fitna. Ulienda kwa yule MC (mini cooper) yule dada mwenye changamoto ya urefu (mfupiiiiii) ukambeba mimi ujue pale ndo nilikuwa nimefika kabisa
Ha ha ha ha ha ha ha ha....huyu Lyon Lee ni anko wangu sasa baba yake ndo babu yangu mimi. Alikuwa mfanyakazi wa EAC na mimi ndo mrithi wake ila watoto ndo wasumbufu wananionea tamaa mimi kuwa mrithi wa babu
Ha ha ha ha ha ha ha ha.
.sasa mbona unamkosea heshima anko wako
Hmmm... Haya... Na aunty wako unataka akuite bby...mambo ya ukoo haya, ungejua anko wangu anavyonifanyia fitna unaweza kudhani hatuna udugu kumbe ni ukoo mmoja kabisa
Hmmm... Haya... Na aunty wako unataka akuite bby
Ha ha ha ha ha... Mimi wasi wasi wangu Usije ukaja kudai kunyonya kwa kisingizio cha utoto.....ha hahaha, baby ni jina mnaitana mkiwa bar, aunt yangu she got ahead of herself akalihusianisha baby na mambo ya mapenzi kumbe ndugu kuitana baby ni kwa sababu mimi ni mtoto na yeye ni aunt yangu. Ujumbe wangu umefika nyumbani nadhani, utapunguza maswali sasa