Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Anko aunt hajalala kweli?....ha hahaha, baby ni jina mnaitana mkiwa bar, aunt yangu she got ahead of herself akalihusianisha baby na mambo ya mapenzi kumbe ndugu kuitana baby ni kwa sababu mimi ni mtoto na yeye ni aunt yangu. Ujumbe wangu umefika nyumbani nadhani, utapunguza maswali sasa

