Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Taratibu Kuburudika

Usitumie pupa sana kuikaribia wikend, wikend haitakagi papara yaani ni kama salamu ya asubuhi, inataka utulivu na kujipanga,. nami ninakusalimia muda huu na kukutakia wikend njema.

Muziki sasa, burudika taratibu acha papara

Asante sana binamu
Asante sana Shunie kwa magazeti, umeifanya asubuhi yangu kuwa nzuri, mchana kuwa mfupi na jioni kuwa murua kabisa. Asante, unalifanya jukwaa lihabarike na kumakinika kwa habari za magazeti
 
Asante binamu
Muziki: Taratibu Kuburudika

Usitumie pupa sana kuikaribia wikend, wikend haitakagi papara yaani ni kama salamu ya asubuhi, inataka utulivu na kujipanga,. nami ninakusalimia muda huu na kukutakia wikend njema.

Muziki sasa, burudika taratibu acha papara

Similar Discussions

Back
Top Bottom