makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,983
- 104,451
Marhaba shemela, vipi hali!?Shemela shikamoo
Marhaba shemela, vipi hali!?Shemela shikamoo
Mh jamaniHata nikikualika!! Huwezi kuja shunie akee!! Nitapoteza wino wangu tu.
Karibu tendeShemela shikamoo
Halafu vipi sasa hivi uko poa eenhNini tena shunie akee!!
Wewe unakuja kigamboni hutaki kunitembelea hata nikiulika si kazi bure shunie akee!!Mh jamani

Hamna ndugu yangu, yale yale ya puna na buyuni tuu!!Halafu vipi sasa hivi uko poa eenh

Wewe unakuja kigamboni hutaki kunitembelea hata nikiulika si kazi bure shunie akee!!
![]()
![]()
![]()
JamaniHamna ndugu yangu, yale yale ya puna na buyuni tuu!!![]()
![]()
Amin inshaallah, shunie akee.Jamani
Mungu afanye wepesi wake maka akee

Sasa kivukoni si ndio kigamboni yenyewe, dk 5 tu pantoni inabadilisha kivukoni to kigamboniJamani wala sifikagi kigamboni maka akee naishiaga kivukoni tu
Sasa kivukoni si ndio kigamboni yenyewe, dk 5 tu pantoni inabadilisha kivukoni to kigamboni
Mfyuuuu zako!!Basi nitakuja ndio nafika hata sijui naanzaje shunie mm kumtafuta maka akee

Mfyuuuu zako!!![]()
![]()
Unitafute mie pesa kwani!! We njoo tu shunie akee.Basi nitakuja ndio nafika hata sijui naanzaje shunie mm kumtafuta maka akee
Unitafute mie pesa kwani!! We njoo tu shunie akee.
Hahaa!! Sio tatizo hapa nina vielfu kadhaa, bando utapata, la 10 elfu si linatosha shunie akee!?Hahahaha sio mfyuuu zangu ndio niko kivukoni sijui nanzaje uko halafu nakudai bundle langu jamani
Kwani shunie akee namba yangu huna!? We vuka njoo mpaka mjimwema kibaoni, ukifika hapo muulize hata mtoto aliyezaliwa leo atakuonesha home!!Nakuja nakupataje mie
Nawe pia shunie akee!!"Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu."
(Methali 3: 24)
Mungu awatunze usiku huu,Damu ya Yesu iwafunike
Usiku Mwema![]()
Hahaa!! Sio tatizo hapa nina vielfu kadhaa, bando utapata, la 10 elfu si linatosha shunie akee!?