Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sawa bwana
Sawa bwana
Msalimie Sana, mapambano ya maisha ndio maana watu wanakuwa adimu,
Mambo ya vyuma .................. Tunavilainisha
Sawa hiyo vipiSawa bwana
Hakuna namna mshikaji wangu, namuona sakayo Kwa mbaliNitamsalimia mshkaji wangu kweli lazima tupambane na vyuma
Hakuna namna mshikaji wangu, namuona sakayo Kwa mbali
Mwambie namsalimia sanaSakayo ndio ameingia nae
Mwambie namsalimia sana
Hope amezipataDada akee shunie unasalimiwa huku
Marhabaaaaaa hujambo dada ake ShunieSalama
Shkamoo
Hope amezipata
Sijambo mimiMarhabaaaaaa hujambo dada ake Shunie
Pamoja Sana mshikaji wanguAmezipata mshkaji wangu
HayaSijambo mimi
Marhabaa mjukuu mweeShikamoo babu
Kuguna nn fursa hyo
Wacha unoko mjukuu mweeNitakuwa na wangapi sasa jamani kama kila fursa unaikubali tu ananitosha mchumba angu jamani
Ha ha ha ha ha ha ha... Yaani nimecheka mpaka kengele zikapata habariMke mwee tumeambiwa ukiona mwenzio ana tatizo mshauri tu vizuri naanzaje kumshauri vibaya mtu si anaweza hata kujiua jamani
Uendelee tu... Huyo mjukuu mwee mnokoJamani anisamehe tu mm kama maushauri yangu yana mkwaza sirudii tena
Nani kwani huyo mjukuu wangu?Kweli mke mwee jamani niombee tu msamaha sipendi kumkwaza mtu
Ha ha ha ha ha ha ha... Yaani nimecheka mpaka kengele zikapata habari