Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Sawa babu
Uendelee tu... Huyo mjukuu mwee mnoko
Uendelee tu... Huyo mjukuu mwee mnoko
Kwani tulikwambia tuna shidaHivi hawa makapuku waengeingia forex si sahiv wangekua vizuri kiuchumi wangeacha kulia lia
Nani kwani huyo mjukuu wangu?
Au mi sijaelewa maana ya kapukuKwani tulikwambia tuna shida
Nachelewa kula daku... Saa kumiNaona ndio unaamka kula daku babu yake shunie
Hili kaburi la cku nyingiHusna muba I love youView attachment 789564
ShikamooNachelewa kula daku... Saa kumi
Husna muba I love youView attachment 789564
Au mi sijaelewa maana ya kapuku
Shikamoo babuNachelewa kula daku... Saa kumi
Halafu tumeshalisahauHili kaburi la cku nyingi
Marhabaa mjukuu mwee... Hujambo?Shikamoo
Marahabaa mjukuu wangu... Hujambo wewe!Shikamoo babu
Sijambo babu yake shunie vipi wewe umeamkajeMarahabaa mjukuu wangu... Hujambo wewe!
Asante mjukuu wangu kwa magazeti ya leoMagazeti View attachment 789715View attachment 789716View attachment 789717View attachment 789718View attachment 789719View attachment 789720View attachment 789721View attachment 789722View attachment 789723View attachment 789724View attachment 789725View attachment 789726View attachment 789727View attachment 789728View attachment 789729View attachment 789730View attachment 789732View attachment 789733View attachment 789735View attachment 789736
Asante babu yake shunie kwa kuyapitiaAsante mjukuu wangu kwa magazeti ya leo
Mimi mzima... Dada ako naona ameponaSijambo babu yake shunie vipi wewe umeamkaje